Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari za jumapili great thinker
Leo tukumbushane kidogo katika maisha ya kawaida maana humu lazima tujadiliane mambo ambayo yana tija katika maisha yetu ya kawaida
Leo nataka niwaase vijana wenzangu na hata wazee kama wapo humu kwamba ukitaka pesa iwe inatumika vizuri tuache POMBE na WANAWAKE maana hawa marafiki wawili wamekuwa maadui sana wa maisha yetu pesa haikai mfukoni inatumika hovyo hovyo,wekeza pesa yako ifanye miradi ya maana ili ufurahie maisha wewe na familia yako sio kutwa nzima unabadilisha wanawake,usiku kucha unabadilisha chupa za bia maendeleo kuja ni ngumu sana japo kuna watu watapinga kuhusu hili ila niamini pombe na wanawake ni ADUI MKUBWA WA MAENDELEO
Wasaalam
NB.Acha pombe na wanawake🎤🎤🎤