Niamini mimi:POMBE na WANAWAKE ni adui wa pesa zako

Niamini mimi:POMBE na WANAWAKE ni adui wa pesa zako

Pombe inafaida na hasara zake. Na ukifuatilia vizur wafanya biashara weng ji wanywaj kwa maana nyinginr pombe inawasaidia kuwaondolea woga wakuanzisha mirad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri hata kama ni mtumiaji wa hivyo vitu viwili inategemea ni jinsi gani unavyoweza kuvicontrol. Kuna watu waliofanikiwa kimaisha kupitia pombe hizo hizo na wanawake hao hao mradi tu walijua namna ya kucontrol. Mimi nina mifano hai kadhaa.
 
ili uipate na ikae kwako acha pombe na wanawake
Hapana mzee, Kama una pesa za mawazo hapo sawa...Ila ninachotaka nikuambie ukishakuwa na pesa itakuonesha jinsi ya kuitumia na utakuwa unafahamu jinsi ya kuitafta..

Mimi sikubaliani na wewe Mimi natafta pesa na naitumia pesa ninavyotaka
 
Hivi aliyewafundisha wasio kunywa pombe kuwaasa wanywaji ni nani? Ukiangalia wanaokunywa na wewe ambae hunywi umewazidi nini?? MSIOKUNYWA MNAKWAMA SANA, ACHA SISI TUENDELEE KULIPA KODI
 
Ndioooooooooo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom