Niamini mimi:POMBE na WANAWAKE ni adui wa pesa zako

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari za jumapili great thinker
Leo tukumbushane kidogo katika maisha ya kawaida maana humu lazima tujadiliane mambo ambayo yana tija katika maisha yetu ya kawaida
Leo nataka niwaase vijana wenzangu na hata wazee kama wapo humu kwamba ukitaka pesa iwe inatumika vizuri tuache POMBE na WANAWAKE maana hawa marafiki wawili wamekuwa maadui sana wa maisha yetu pesa haikai mfukoni inatumika hovyo hovyo,wekeza pesa yako ifanye miradi ya maana ili ufurahie maisha wewe na familia yako sio kutwa nzima unabadilisha wanawake,usiku kucha unabadilisha chupa za bia maendeleo kuja ni ngumu sana japo kuna watu watapinga kuhusu hili ila niamini pombe na wanawake ni ADUI MKUBWA WA MAENDELEO

Wasaalam
NB.Acha pombe na wanawake🎤🎤🎤
 
Hao sio adui wa pesa zako, adui mkubwa ni ww na akili zako, hivyo vitu viwili ukivicontrol vitakuletea maendeleo na sio vinginevyo.

And mind you, huwez kuvikwepa hivyo vitu viwili kwa pamoja, lazima kimojawapo ukitumie kwa vyvyte vilee.
 
Unaweza kuvikwepa vyote

Na hakuna kheri katika vitu hivyo Chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe inalipa kodi inayo saidia bajeti na ina ajiri alafu ni kiburudisho wengi walio fanikiwa kimaisha ni wanywaji
 
Hao sio adui wa pesa zako, adui mkubwa ni ww na akili zako, hivyo vitu viwili ukivicontrol vitakuletea maendeleo na sio vinginevyo.

And mind you, huwez kuvikwepa hivyo vitu viwili kwa pamoja, lazima kimojawapo ukitumie kwa vyvyte vilee.
Ndio maana nimekuambia acha pombe nawanawake utakuwa umeicontrol akili yako,vyote unaweza kuvikwepa,ila mpaka uamue kuvikwepa,ujikane haswaaaaaaaaaaa
 
Mkuu tafta pesa na ukishaipata pesa itakuelekeza jinsi ya kuitumia...

Kujinyima starehe haimaanishi utakuwa tajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…