Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
- Thread starter
-
- #21
hawa na mapacha,chinja wote ukimuacha mmoja atakuletea maafavipi ukinyakua kimoja na kuacha kimoja
acha pombe mkuu,niamini
Siwezi acha mzee ndy starehe nliyochaguaacha pombe mkuu,niamini
Waswahili wanasema ukizoea kumeza pini ipo siku utakunya mtalimboSiwezi acha mzee ndy starehe nliyochagua
Pombe napiga na nafanya shuguli zangu kama kawaida!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe nmeanza kunywa Nna miaka 16 tena tungi la maanaWaswahili wanasema ukizoea kumeza pini ipo siku utakunya mtalimbo
takenPombe nmeanza kunywa Nna miaka 16 tena tungi la maana
Washauri hao wanaoanza kunywa kwenye miaka ya 27 mpk 40 mzee
Utapataje akili,michongo,stori,kujuana na watu kama hunywi pombe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe ina hasara kiafya na ina hasara kwenye kipato,ina faida gani?Pombe inafaida na hasara zake. Na ukifuatilia vizur wafanya biashara weng ji wanywaj kwa maana nyinginr pombe inawasaidia kuwaondolea woga wakuanzisha mirad.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawaKila mtu anakipato chake
Pombe ina hasara kiafya na ina hasara kwenye kipato,ina faida gani?
Mwambie huyuShida sio pombe, shida ni akili yako unaitumiaje kwenye pombe. Watu qanaongea michongo ming tu bar huku wakitumia vyombo na fursa zingine wanakutana nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mzee, Kama una pesa za mawazo hapo sawa...Ila ninachotaka nikuambie ukishakuwa na pesa itakuonesha jinsi ya kuitumia na utakuwa unafahamu jinsi ya kuitafta..ili uipate na ikae kwako acha pombe na wanawake