maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Acha kabisa...ilinicost lkn niweka code sehem nyingi sanaUkamwamini mwanamke,ukasahau yaliyomkuta Samson 🤣
Mkuu,Biashara ni siri..aisee usitoe code kabisa
Mimi kuna biashara nilikua nafanya 7years back sasa bana nikampa code wife...wife ana rafiki yake si ampa siri yote!
Nakuja ingiza mzigo sokoni aisee! Soko Limejaa..nikabaki najiuliza
Nikatumia umafia sana nikajua ni yule dem na mumewe
Nika mbana yule dem si ndio aliniambia wife ndio alimwambia aisee ilikua balaa
......ila baadae waliishindwa na baadae ikawa sio deal tena
Ila nilijifunza..
Sa hivi code yangu ni yangu!
Kwaio hata wewe tusikuamini 🤣🤣Ukamwamini mwanamke,ukasahau yaliyomkuta Samson 🤣
Kabisa Mkuu🤣🤣🤣🤣Kwaio hata wewe tusikuamini 🤣🤣
MaakoshaaUkamwamini mwanamke,ukasahau yaliyomkuta Samson 🤣
🤣🤣🤣ndo niniMaakoshaa
Dj afroo uyo anamaanisha makosa🤣🤣🤣ndo nini
Kumbe wakuu mna code embu mfungue uzi wa code nasisi tucopy na ku paste tutoboe
Kabisa na hawawezi kuziweka hapa maana macho na mikono ya serikali ipo hapa kama 🧐🕵️♂️Zinazoitwa code mara nyingi ni ujanja ujanja na biashara haramu!