Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 335
- 554
Wewe ni masikini bhana masikini na utalii wapi na wapi?Habari wanajamii,
Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi.
Mchanganuo ujumuishe:
-Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar)
-Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka 70k kwa cku 4)
-Pesa ya kula na matumizi madogomadogo
-Na nauliza kama kuna ulazima wa kupiga chanjo ya yellow fever na COVID-19 na kama lazima gharama zake.
Mimi nimepiga hesabu nikaona laki tano inatosha kabisa ila nataka bajeti kutoka kwa wajuzi zaidi.
Sawa tajiriWewe ni masikini bhana masikini na utalii wapi na wapi?
Brazil for 1M?Weka 1M uenjoy Brazil
Ila ujue kenya maisha ni cheap kuliko tanzania hasa magazine nairobi center chumba unapata kwa 900 ambayo ni sawa na 15000 huku kwetu mombasa chumba ni 700 kama 12000 huku kwetu kila unapoenda tafuta alternative za cheap ila laki 5 ukiibana itakutosha ila kwa tahadhari ukiwa na M utafrah zaid sgr mombasa to nairobi ni 1000 ambayo ni kama 17000 za tz
Ooohh oh sorryBrazil for 1M?
OkOoohh oh sorry
Nlimaanisha weka 1m uenjoy braza
Ww ndio unayomentality ya kimaskiniWewe ni masikini bhana masikini na utalii wapi na wapi?
Umenena sana Mkuu. I can see reality.Kenya vitu ni ghali sana usije jidanganya utaenda kujitia aibu tu, pesa Yao ipo stable sana kulinganisha na ya kwetu, hotel nzuri utapata kuanzia 3k ya Kenya ambayo ni karibu elfu 60 kwa siku Moja, hotel ya 70 kwa siku nne yaani ya buku buku ya Kenya kwa siku utarudi na kunguni wa Kenya, Kuna vitu hua sielewi, nauli ya basi kwa hizo trip ulizozitaja ni kama laki na
Kila la kheri
Mm sio mtu wa chamnyweso (Bia) na naenda huko kikazi (private), kwa hiyo lazima bajeti ibane.Kenya vitu ni ghali sana usije jidanganya utaenda kujitia aibu tu, pesa Yao ipo stable sana kulinganisha na ya kwetu, hotel nzuri utapata kuanzia 3k ya Kenya ambayo ni karibu elfu 60 kwa siku Moja, hotel ya 70 kwa siku nne yaani ya buku buku ya Kenya kwa siku utarudi na kunguni wa Kenya, Kuna vitu hua sielewi, nauli ya basi kwa hizo trip ulizozitaja ni kama laki na