Niangalizieni Idrisa Isa Halifa. Kwa waliochaguliwa Ualimu..

Mm nimepata chuo cha nachingwea ila nimeona aina ya mafunzo niliopangiwa ni AWALI. cjaelewa naomba ufafanuzi kwa anaejua?nimepata alama 26 kidato cha 4.
 
We Wa Nachingwea Kanisalimie Mr.chitopela,na Mama Nditi, Nmexoma Pale,ila Usiende Na Nguo Nyeupeee,mji Una Ngunja Sana Ule,pia Ukawe Makin Na Videm Vya Chuo Coz Mji Una Ukimwi Sana Ule
 
Mi kwenye certificate wang ndo uniangalizie huyo RASHIDI SAIDI HEGA shule aliyotoka selous secondary
 
We Wa Nachingwea Kanisalimie Mr.chitopela,na Mama Nditi, Nmexoma Pale,ila Usiende Na Nguo Nyeupeee,mji Una Ngunja Sana Ule,pia Ukawe Makin Na Videm Vya Chuo Coz Mji Una Ukimwi Sana Ule

poa nielekeze bc nini tofauti ya AWALI na KAWAIDA.
 
Cheti awali ni elimu inayotolewa inayohusika na watoto wadogo yan nursery halafu cheti kawaida ni elimu inayotolewa kwa watakaoenda kufundisha shule za msingi yan primary! Aliyeuliza ilo ndo jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…