Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msaada lakini wana jf ?
msaada na mimi mdau jovitha musa mwanshuli.Umelekwa Mtwara Teachers College(TTC)!
msaada na mimi mdau jovitha musa mwanshuli.
huyu kasoma loleza ndo huyo! Km ndo naomba unitajie po box lake!Kapangiwa Matogolo TTC, Ruvuma
mkuu yeye kasoma loleza umekuta hvo! Kma ndo naomba unitajie na po box lake!Kapangiwa Matogolo TTC, Ruvuma
msaada na mimi mdau jovitha musa mwanshuli.
Niangalizieni RASHIDI SAIDI HEGA
Umelekwa Mtwara Teachers College(TTC)!
asante mkuu! Msaada na hili bac FRANK.H.KALONGOLA ngaz ya cheti samahan lakin nipo bush kwahyo acces ya internet inazngua.Amesoma Loleza kapangiwa Kleruu p.o.box 98 igurusi mbeya
asante mkuu naomba unichekie na hili FRANK.H.KALONGOLA ngaz ya cheti npo bush kwahyo acces ya internent ngum kidgo!Amesoma Loleza kapangiwa Kleruu p.o.box 98 igurusi mbeya
Mkuu si ungewawekea hiyo link tu waneng'eneke nayo wenyewe?
We Wa Nachingwea Kanisalimie Mr.chitopela,na Mama Nditi, Nmexoma Pale,ila Usiende Na Nguo Nyeupeee,mji Una Ngunja Sana Ule,pia Ukawe Makin Na Videm Vya Chuo Coz Mji Una Ukimwi Sana Ule