the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Ndugu nisaidie kunicheck Herson chilongola (diploma)chuo gani?
wengne mchina hafungui pdf. Nisaidie kucheki PRISCA JUSTIN ngazi ya cheti
asante mkuu naomba unichekie na hili FRANK.H.KALONGOLA ngaz ya cheti npo bush kwahyo acces ya internent ngum kidgo!
Mi kwenye certificate wang ndo uniangalizie huyo RASHIDI SAIDI HEGA shule aliyotoka selous secondary
msaada lakini wana jf ?
Cheti awali ni elimu inayotolewa inayohusika na watoto wadogo yan nursery halafu cheti kawaida ni elimu inayotolewa kwa watakaoenda kufundisha shule za msingi yan primary! Aliyeuliza ilo ndo jibu
asante ndugu kumbe anatumia frank kalongola kasoma kantalamba msaada ndgu yangu!Frank h.kalongola kwenye certificate hakuna ndg
poa nielekeze bc nini tofauti ya AWALI na KAWAIDA.
Cheti awali ni elimu inayotolewa inayohusika na watoto wadogo yan nursery halafu cheti kawaida ni elimu inayotolewa kwa watakaoenda kufundisha shule za msingi yan primary! Aliyeuliza ilo ndo jibu
asante ndugu kumbe anatumia frank kalongola kasoma kantalamba msaada ndgu yangu!
awali maana yake ww unaenda kusomea ualim wa chekechea!!mwalim wa shule za awali!!umenisoma??
Kawaida maana yake ni walim wakawaida watakaosomesha watoto wa primary
asante ndgu! Mungu akubar!P.o.box 15 igurusi,wamempanga mpuguso,kawaida congrats
asante ndgu! Mungu akubar!