Niangalizieni Idrisa Isa Halifa. Kwa waliochaguliwa Ualimu..

Niangalizieni Idrisa Isa Halifa. Kwa waliochaguliwa Ualimu..

Cheti awali ni elimu inayotolewa inayohusika na watoto wadogo yan nursery halafu cheti kawaida ni elimu inayotolewa kwa watakaoenda kufundisha shule za msingi yan primary! Aliyeuliza ilo ndo jibu

Nimekuelewa mdau ila celewi kwa nn nimechaguliwa Awali kwa sababu sikuomba Awali niliomba primary yaan kawaida.sasa cjui nikifika shule ntaweza kubadilisha?na kama itashindikana kubadilisha vp ubora wa kusoma Awali upoje maana inaonekana kwenye vyuo vya serikali ndio mara ya kwanza kutoa hii kozi.
 
poa nielekeze bc nini tofauti ya AWALI na KAWAIDA.

awali maana yake ww unaenda kusomea ualim wa chekechea!!mwalim wa shule za awali!!umenisoma??

Kawaida maana yake ni walim wakawaida watakaosomesha watoto wa primary
 
Cheti awali ni elimu inayotolewa inayohusika na watoto wadogo yan nursery halafu cheti kawaida ni elimu inayotolewa kwa watakaoenda kufundisha shule za msingi yan primary! Aliyeuliza ilo ndo jibu

hata mimi nimepangiwa hivyo ila shule za serikali zina chekechea?
 
awali maana yake ww unaenda kusomea ualim wa chekechea!!mwalim wa shule za awali!!umenisoma??

Kawaida maana yake ni walim wakawaida watakaosomesha watoto wa primary

Sasa wanatumia vigezo gan vya kumpangia mtu awali?na kuajiriwa itawezekana kweli baada ya kuhitimu?kwa sababu serikali c haina shule za chekechea?
 
Back
Top Bottom