Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Sasa miaka 30 unafikri ni mbali ? Sasa sana kipato chake kitabaki hicho hicho . Muhimu afanye tu kilichopo mbele yakeSubir kwanza kuza kipato hata kwa miaka 2 ufike umri 30 mjue mweza wako pia kabla ya kuingia kwenye ndoa je ni mvumilivu wa hali yako, usije ukawa umemsaidia mangi dukani kumletea utamu karb ww unaend miangaiko yy anashindwa kuvumilia kipato kidogo bac mangi na boda boda hawana huruma kukuchakatia mkeo baadae anaze kukuzarau
Ungekuwa na mwanamke na ukaishi nae hata miaka,miwili au mmoja sawa ungempima anaweza kistahimili kwa kipato cha 300k,vinginevyo ujiandae kwa maumivu. Labda ubahatike umpate mwanamke mcha Mungu na anaye yajua maisha kwamba ni kupata na kukosa.Wakuu ni salama? Mimi nimejiajiri na nina kipato cha 300k kwa mwezi na ninatazamia miezi 6 ijayo nioe. Wakati huo nitakuwa na miaka 28.
Nyie wazoefu wa mji na maisha ushauri wenu. Kuna mambo gani nizingatie kwenye kuanza maisha na mwanamke ukizingatia kipato changu na sina vitu vingi ndani? Vitu gani vya muhimu kuwa navyo ndani na vitu gani nijiepushe navyo kusudi kupunguza pia gharama za maisha na kufanya vitu visivyo vya muhimu?
Nao wanasema Olewa na mwanaume anakupenda😆😆OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
N:B mwanamke kama hakupendi basi tambua kuna mwingine anayempenda ambaye siyo ww,hivyo ni HERI kuoa mwanamke anayekupenda📌