Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kwa kipato hicho labda oa mshangazi nesi au mwalimu awe anakuxhukulia mkopo kausha damu
Pambania katiba kwanza ili hata ukizaa watoto wawe na future ya kueleweka.Wakuu ni salama? Mimi nimejiajiri na nina kipato cha 300k kwa mwezi na ninatazamia miezi 6 ijayo nioe. Wakati huo nitakuwa na miaka 28.
Nyie wazoefu wa mji na maisha ushauri wenu. Kuna mambo gani nizingatie kwenye kuanza maisha na mwanamke ukizingatia kipato changu na sina vitu vingi ndani? Vitu gani vya muhimu kuwa navyo ndani na vitu gani nijiepushe navyo kusudi kupunguza pia gharama za maisha na kufanya vitu visivyo vya muhimu?
Jipe muda, endelea kupiga puli wakati unajikusanya.Wakuu ni salama? Mimi nimejiajiri na nina kipato cha 300k kwa mwezi na ninatazamia miezi 6 ijayo nioe. Wakati huo nitakuwa na miaka 28.
Nyie wazoefu wa mji na maisha ushauri wenu. Kuna mambo gani nizingatie kwenye kuanza maisha na mwanamke ukizingatia kipato changu na sina vitu vingi ndani? Vitu gani vya muhimu kuwa navyo ndani na vitu gani nijiepushe navyo kusudi kupunguza pia gharama za maisha na kufanya vitu visivyo vya muhimu?
Kipato kinaweza kisiongezeke tena maisha yake yote 😁Ongeza juhudi kwenye utafutaji uongeze kipato. Vuta subira ufikishe 30.
Ajitahidi vingimevyo anaweza jiongezea ugumu wa maishaKipato kinaweza kisiongezeke tena maisha yake yote 😁
Ye aoe mengine tatajiset mbele kwa mbele. Msimtishe
Yaani miaka 22 umeshaanza kuwaza kuoa!!! Dogo achana na kuoa kula maisha hadi 35 hivi ndio tafuta bikra uoe usioe single mazaWakuu ni salama? Mimi nimejiajiri na nina kipato cha 300k kwa mwezi na ninatazamia miezi 6 ijayo nioe. Wakati huo nitakuwa na miaka 28.
Nyie wazoefu wa mji na maisha ushauri wenu. Kuna mambo gani nizingatie kwenye kuanza maisha na mwanamke ukizingatia kipato changu na sina vitu vingi ndani? Vitu gani vya muhimu kuwa navyo ndani na vitu gani nijiepushe navyo kusudi kupunguza pia gharama za maisha na kufanya vitu visivyo vya muhimu?
Nasaha murua na thabiti.Kitu cha kuzingatia ni unayemuoa tu
Akubaliane na hali yako katika hali ya kwamba akupende kweli, asiwe mwenye tamaa, awe na huruma na wewe, msikivu na mwenye nidhamu ya hela
Akiwa anajishughulisha ni faida ya nyongeza muhimu sana
😀😀😀 aiseeKwa kipato hicho labda oa mshangazi nesi au mwalimu awe anakuxhukulia mkopo kausha damu