Nianzie wapi? nataka kuoa na kipato changu ni around 300k kwa mwezi

Pambania katiba kwanza ili hata ukizaa watoto wawe na future ya kueleweka.
 
Jipe muda, endelea kupiga puli wakati unajikusanya.
 
Wanakushauri ukuze kipato chako, je kisipokua manake hutooa?
Hakuna mwenye uhakika wa kuwa kesho yake itakua bora kuliko leo
Oa kijana acha woga
Basi sawa...
 
Nakushauri uoe wala usisubiri kipato kikue, wengi walisubiri na wakashangaa 40 hii na kipato hakijakua, umri umekata.

Zingatia aina ya mtu unayetaka kufanya nae maisha, kama ni hawa wa mjini wenye matarajio makubwa, wenye tamaa ya mali na pesa, wenye show offs kwa wenzao, utakufa kabla ya mda wako.
 
Yaani miaka 22 umeshaanza kuwaza kuoa!!! Dogo achana na kuoa kula maisha hadi 35 hivi ndio tafuta bikra uoe usioe single maza
 
Kitu cha kuzingatia ni unayemuoa tu
Akubaliane na hali yako katika hali ya kwamba akupende kweli, asiwe mwenye tamaa, awe na huruma na wewe, msikivu na mwenye nidhamu ya hela

Akiwa anajishughulisha ni faida ya nyongeza muhimu sana
Nasaha murua na thabiti.

CC: Joannes1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…