O onetheincredible Member Joined Jun 18, 2015 Posts 47 Reaction score 7 Jul 1, 2015 #1 Natanguliza salaam! Ndugu wana janvi naomba msaada wenu kwa hili! NIMEPANGIWA NYANDUGA HGL combination. Je naweza kuripoti kisha nibadiri comb ili nisome PCB na kama haiwezekani naweza kuhama shule na kubadili comb nisome PCB?
Natanguliza salaam! Ndugu wana janvi naomba msaada wenu kwa hili! NIMEPANGIWA NYANDUGA HGL combination. Je naweza kuripoti kisha nibadiri comb ili nisome PCB na kama haiwezekani naweza kuhama shule na kubadili comb nisome PCB?
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jul 3, 2015 #2 Dah! Sayansi siku hiz inaonekana ni mterezo sana aisee....yaan brn wanapasua tu mpaka imebid watu watupwe comb za arts.........ila chek hiyo shule unayoenda kama ina pcb basi ni rahic sana kubadilisha kinyume chake itakuwa ngumu kiasi.
Dah! Sayansi siku hiz inaonekana ni mterezo sana aisee....yaan brn wanapasua tu mpaka imebid watu watupwe comb za arts.........ila chek hiyo shule unayoenda kama ina pcb basi ni rahic sana kubadilisha kinyume chake itakuwa ngumu kiasi.