Nibadili kombi niliyopangiwa?

Nibadili kombi niliyopangiwa?

Joined
Jun 18, 2015
Posts
47
Reaction score
7
Natanguliza salaam!

Ndugu wana janvi naomba msaada wenu kwa hili! NIMEPANGIWA NYANDUGA HGL combination.

Je naweza kuripoti kisha nibadiri comb ili nisome PCB na kama haiwezekani naweza kuhama shule na kubadili comb nisome PCB?
 
Dah! Sayansi siku hiz inaonekana ni mterezo sana aisee....yaan brn wanapasua tu mpaka imebid watu watupwe comb za arts.........ila chek hiyo shule unayoenda kama ina pcb basi ni rahic sana kubadilisha kinyume chake itakuwa ngumu kiasi.
 
Back
Top Bottom