NIC leo balaa

NIC leo balaa

kwa ujinga wao utaona wanawapa written interview, sasa unajiluliza vp kama hata hiyo written interview 50% wakifaulu unatumia approach ipi? Maswali juu ya maswali.
 
NSSF mwaka juzi it was the same. tulikuwa wengi mno hadi niliona kama nimepoteza nauli yangu tu na gharama za malazi na chakula kutoka ukerewe mwanza kuja dar

vp ulifanikiwa au ulikosa?
 
Wanatumia advantage ya shida zetu za ajira.

Ukute kuna watu wameshawekwa nyie mnatwa kutimiza protocol ili wakubwa walipwe posho za usaili. This is Bongo, kujipenyeza kwenye system kugumu.
 
Sijawahi ona hali kama ya leo hapa Diamond Jubilee kwa haraka harka nikihesabu watu waliokuja kwenye interview ukumbi mzima ulijaa na ukatapika labda wizara husika ingelikuwa inahudhuria interview hizi wangelijua nichoongea hapa watu waliofika ni kama 6000 nafasi zilizotangazwa ni assistant accountant4 na internal auditor 1 hali ngumu sana jamani
uongo huu, watu waliokuwapo ni wachache sana.
auditors about four candidates
assistant accountants about 30 candidates.

hamna aja ya kukuza mambo
 
Inaumiza na kukatisha tamaa japo inauma zaid pale unapokutana na mtu lamda anafanya kazi sehemu fulan anakuambia wewe bado tuu hujapata ajira? anamalizia naona hujishugulishi wewe. utajisikiaje kwa hali hii tunayokutana nayo? poleni sana wasomi wazululaji wenzangu ila msichoke wala kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom