NIC Tanzania lini mtatoza Bima za Nyumba/ Majengo nchi nzima

NIC Tanzania lini mtatoza Bima za Nyumba/ Majengo nchi nzima

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) !

Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia yanaathiri makazi ya watu na nyinyi mpo tu ?. Mmekufa ?

Nawaomba ikiwapendeza; wekeni pendekezo la kila nyumba au Jengo lolote hapa Tanzania lazima liwe na Bima ya Taifa yaani iwe lazima. Hatutaki shida tena na madhara yanayoepukika.

Asante.
 
Back
Top Bottom