eid mubarakjana katika kindi cha jahazi niliwasikia kibonde and company wakizungumzia suala la nic kuuza baadhi ya majengo yake ili kulipa madeni sugu ya kampuni hiyo.
Hili ndilo tatizo la maskini 'clausi' akipata ,basi, uanza ku'harisha'Clouds family ina maadui wengi pande karibu zote. Hata ukisema eti "mti wenye matunda ndio hupigwa mawe" kwa uadui huu hapana, they have to analyze their public image!
Clouds family ina maadui wengi pande karibu zote. Hata ukisema eti "mti wenye matunda ndio hupigwa mawe" kwa uadui huu hapana, they have to analyze their public image!