Jana katika kindi cha jahazi niliwasikia Kibonde and company wakizungumzia suala la NIC kuuza baadhi ya majengo yake ili kulipa madeni sugu ya kampuni hiyo. Hiyo habari ilikuwa kwenye gazeti la jana.
Kiliichonifanya niseme Clouds washitakiwe ni kwamba badala ya kusoma hiyo story kwenye gazeti wao waliishia kutoa very negative statement kuhusu NIC na ukweli ni kwamba wamewashauri wale wote walio na bima ya NIC waangalie maana kampuni ni kama imefilisika.
Hivyo wame-create fear to public na kama kampuni itapata loss, basi Clouds wawe responsible kwa hilo.
Ni hayo tu