Niccolo Machiaveli anaasema hivi kwenye The Prince.

naipenda sana hii.kuwa neutral kunakukufanya udharaulike. anaanza.


anaendelea.

anamalizia.
 
kuondoa wanafiki ruhusu kukosolewa lakini kulinda heshima, usiruhusu kila mtu akukosoe!🙄.
 

Attachments

  • upload_2016-12-28_23-32-31.png
    15.7 KB · Views: 134
Kitabu kimejaa point tupu'ngoja nikipakue ntakisoma mdogo mdogo jinsi navopata muda
 
hapa anamwambia Rais kwamba. kuanzisha mfumo mpya ni kazi ngumu. walionufaika na wazamani watakupinga sana na wengine watakutetea kishingo upande sababu hawana uhakika na uwapelekako.
View attachment 451380
Kuna watu wanamuwaza pombe apa,pombe ni tofauti sana na hapa mtu wa hivi huwa anakuwaga na u genus japo watu wanakuwa hamuelew elew lakini wanatarajia huenda ana makubwa huko mbele ila rais wako kafeli for real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…