Nice Cafe

Nice Cafe

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
unbelievablepictures05.jpg

Nice meeting place fo legal couples,ilegal ukifumaniwa hutoki salama
 
ni ubunifu mzuri sana. natamani nami siku moja nikwee huo mbuyu kupata lunch, lo
 
ni ubunifu mzuri sana. natamani nami siku moja nikwee huo mbuyu kupata lunch, lo

Miss Judith hamna burger wala chips hapo ni Sushi na konokono tu.are you interested??
 
Welcome Judi...anza mazoezi ya kula wali kwa vijiti
 
nshakula na vijiti sana tu, niliwahi kuwa na workshop china, tulipewa chpstick hotelini, so nimeishapiga zoezi hilo

guud!! haya jipangie siku,nina noti toleo jipya zinaniwasha
 
Hicho ni kiota advanced. Ni hapo binadamu wanapodesa kwa ndege.
 
Back
Top Bottom