Nichague gari gani kati ya Toyota CHR na Toyota Rush?

Nichague gari gani kati ya Toyota CHR na Toyota Rush?

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
313
Reaction score
291
Ndugu zangu habarini

Nataka kununua gari lakini nipo dilemma lipi nichague kati ya hizi mbili kulingana na maisha yetu, uimara ,upatikanaji vifaa pamoja na uzuri.

Baada ya kuchuja nimepata gari mbili; Toyota CHR model 2018 na Toyota Rush Model 2018.

Mwenye uzoefu namba msaada
Note: Matumizi ya gari ni town.

20200204_014904.jpeg
20191008_085138.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua CHR, inatengenezwa na Toyota wenyewe, na ndio mrithi wa IST (japo ni crossover SUV)

Hizo Rush zinatengenezwa na subsidiary company ya Toyota inaitwa Daihatsu. (Hiyo Rush ndio Daihatstu Terios)
 
Hiyo rush ina sura mbaya sana, although naziona ona bongo, cjui watu wanazipendea nn., bora CHR, iko na ka futuristic look japokua toyota wamezidisha coners and angles ila ni gari nzuri... utakua na kafeeling kama unamiliki ki URUS chako😅😅
 
Yani nitoe 90M ninunue hio Rush au CHR?

Come on man there are better looking cars for the money. Hii style ya kukunja body kama bahasha iliofinyangwa kisha ikaachwa ijinyooshe naturally sijui hata wanaipendea nini.

Kwa kweli napenda Styling ya General Motors hasa design ya Tahoe, Escalade, Yukon, Explorer, Navigator. That design language inanikosha sio hutu tu cross over kama chura.
 
Back
Top Bottom