Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
[emoji16][emoji16][emoji16]
Nadhani kwa ujumla Subaru ipo vizuri zaidi ya ist
Lakini sasa inapokuja kibongo bongo ist itakufaa zaidi kwa sababu spea zake bei nafuu na nyingi mitaani kuliko za subaru
Hata mafundi wa Toyota bei zao sio mbaya kama ukipeleka brand zingine za magari kama subaru....