Joyce wohwoh
Member
- Sep 17, 2021
- 80
- 185
Kwanini sio honda fitVitz tena ya engine ya 2SZ inabariki sana.
Cha kwanza kabisa spare parts , ogopa sana gari ambayo ukiguswa taa ya nyuma na mtu wa guta unahangaika mji mzima na huipatiKwanini sio honda fit
apo inategemeana unataka ya mwaka gani, ila kiufupi fit inaweza kua nzuri zaidi kuliko vitz toyota by keeping other factors constant kama mafundi, spare parts, kuja kuiuza badae na practicability kwa mazingira ya bongo ila ukiangalia factor zote bila kukeep constant utarud kwenye vitz ambayo ni toyota usione watu wengi bongo wanaendelea kununua toyota na wataendelea kufanya ivo they have reasons to do thatNaombeni msaada katika hili nimejichanga sasa nataka kuagiza gari japan hii itakuwa gari yangu ya kwanza kabisa,naombeni ushauri ipi itanifaa kati ya VITZ ama honda fit?
Matumizi ni kuendea kazini tu na kama nikienda salimia wazazi kijijini.
Ipi itanifaa naombeni mawazo yenu.