Nichague ipi kati ya Vitz au Honda FIT 2008

Nichague ipi kati ya Vitz au Honda FIT 2008

Joyce wohwoh

Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
80
Reaction score
185
Naombeni msaada katika hili nimejichanga sasa nataka kuagiza gari japan hii itakuwa gari yangu ya kwanza kabisa,naombeni ushauri ipi itanifaa kati ya VITZ ama honda fit?

Matumizi ni kuendea kazini tu na kama nikienda salimia wazazi kijijini.

Ipi itanifaa naombeni mawazo yenu.
 
Vitz tena ya engine ya 2SZ inabariki sana.
 
Naombeni msaada katika hili nimejichanga sasa nataka kuagiza gari japan hii itakuwa gari yangu ya kwanza kabisa,naombeni ushauri ipi itanifaa kati ya VITZ ama honda fit?

Matumizi ni kuendea kazini tu na kama nikienda salimia wazazi kijijini.

Ipi itanifaa naombeni mawazo yenu.
apo inategemeana unataka ya mwaka gani, ila kiufupi fit inaweza kua nzuri zaidi kuliko vitz toyota by keeping other factors constant kama mafundi, spare parts, kuja kuiuza badae na practicability kwa mazingira ya bongo ila ukiangalia factor zote bila kukeep constant utarud kwenye vitz ambayo ni toyota usione watu wengi bongo wanaendelea kununua toyota na wataendelea kufanya ivo they have reasons to do that
 
Back
Top Bottom