Ngela Junior35
New Member
- Jun 13, 2023
- 2
- 3
Asa mkubwa so apo procurement ni bora than business administrationKama unataka kuajiriwa iyo procurement n rahisi sana kuajiriwa hata mashirika ya UN huwa wanahitaji sn hao watu
Unataka usome hizo kozi kwa ngazi ya Diploma au degree??Kuhusu kati ya kozi ya Procurement and Logistics Management na Business Administration nichague ipi?
Na faida nitakazopata baada ya kuhitimu na ipi ni rahisi kupata ajira?
NYIE VIP TOKA 2013 SIJAONA HIO PROCUREUnataka usome hizo kozi kwa ngazi ya Diploma au degree??
In short kama ni Degree soma course yoyote kati ya hizo na ujiandae kuwa Dalali, MC au motivational speaker pindi utakapomaliza Chuo.
Na kama ni Diploma kasome Procurement. Soko lake ni kubwa sana maana Kila sehemu kuna manunuzi na ugavi si Halmashauri, si mashirika binafsi, si mashirika ya Serikali n.k
Olu ze besiti oni yua niu ejukesheni jane!