Nichague Mtandao upi wa simu kwaajili ya mawasiliano ya biashara?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
3,151
Reaction score
6,261
Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja?

Na Je nichague mtandao upi wa simu kama namba Kuu ya Kuwasiliana na Kampuni?

Location ni Dar es Salam
 
Yoyote isipokuwa TIGO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…