run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
Kuna dogo niliona nimsaidie kiutani nikamfanyia application za diploma.
Sasa alichaguliwa HGK shule moja moshi ila kule kwenye chuo pia amepata diploma civil engineering.
Hapa anatakiwa afanye maamuzi yatakayoadhiri maisha yake yote..
Juzi anasema computer science Mimi naona akachemshe kichwa huko civil ila naona anasitasita
Hii imekaaje wakuu aende wapi