Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungesema ana One kali alafu kapata PCM au PCB olevo ningekua naushauri tofauti ila kama anataka kwenda kusoma HGK bora akasoma civil.Kuna dogo niliona nimsaidie kiutani nikamfanyia application za diploma.
Sasa alichaguliwa HGK shule moja moshi ila kule kwenye chuo pia amepata diploma civil engineering.
Hapa anatakiwa afanye maamuzi yatakayoadhiri maisha yake yote..
Juzi anasema computer science Mimi naona akachemshe kichwa huko civil ila naona anasitasita
Hii imekaaje wakuu aende wapi
Au baada ya hii course, aende jeshi... Maalum wanahitajigi sana watu wa namna hiiComputer science,apo akimalza anaweza kubase kwenye software engineer,,machine learning,developer .kifupi computer science ina fursa nyingi hasa xahv kwenye uchumi wa kiditali
Kwa course za Sayansi... Pia uwe na ufaulu mzuri, Division 1 au 2Kumbe inawezekana kutoka form four na kwenda diploma moja kwa moja eee
Mwambie akasome engineeringAnayo Two ya mwanzoni na amechaguliwa HGK ila hesabu alipata C, Chemistry B na Physics D