CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
Real Madrid lift trophy
sending off match (90Min)
ulipigwa bann
Aisee niwekewe website ya hii kitu naona hela iko nje njeNdio wakuu....
Kwa wachambuzi wa mpira na kubeti.
Kesho si mnajua kuna nini pale Cardiff City.. Sawa.
Nina laki moja hapa, nawaza kesho nizalishe nipate laki 6.
Kuna option kadhaa hapa, je niweke hela yangu kwenye option ipi niweze kushinda.
Ama niisambaze kwenye option karibu zote...
View attachment 518133
karibuni wakuu tupige hela. kazi kazi
Aisee niwekewe website ya hii kitu naona hela iko nje nje
ndani ya Dk 90 mshindi hapatikaneTatizo odds zake chache sana. 1.8??? Mie nina laki maana yake nikishinda hapo naambulia 170,000 hivi.
Hela ya nyanya hii bwana mdogo..
Hii sijaielewa dogo. Unajua inamaanisha nini nieleweshe
ndani ya Dk 90 mshindi hapatikane
ndugu zako vipi awakuombi pesa siku hizi
usitupe yote Mkuu weka 50000Hii naona imekaa poa sana... Ngoja nitupie kilo yangu hapa...
kesho kutwa asubuhuimmapemaaaa nina laki nne zangu...
Ukitoa kodi 18% VAT nabaki na 328,000/=
Inatosha hii..
ha ha ha haNishakua bandidu sasa hivi....
Maza na demu wangu tuu ndio wanafaidi vijisenti vyangu...
Cheki bro mwingine huyu hapa anapiga simu, najua anataka hela tuu...
Sipokei kubabake!!!