Nichague option gani kati ya hizi ili kesho usiku nipate 600,000/=

Nichague option gani kati ya hizi ili kesho usiku nipate 600,000/=

CCNP Engineer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
463
Reaction score
1,286
Ndio wakuu....

Kwa wachambuzi wa mpira na kubeti.
Kesho si mnajua kuna nini pale Cardiff City.. Sawa.
Nina laki moja hapa, nawaza kesho nizalishe nipate laki 6.
Kuna option kadhaa hapa, je niweke hela yangu kwenye option ipi niweze kushinda.
Ama niisambaze kwenye option karibu zote...

upload_2017-6-2_18-6-5.png

karibuni wakuu tupige hela. kazi kazi
 
View attachment 518133

karibuni wakuu tupige hela. kazi kazi
Aisee niwekewe website ya hii kitu naona hela iko nje nje
 
ndugu zako vipi awakuombi pesa siku hizi

Nishakua bandidu sasa hivi....
Maza na demu wangu tuu ndio wanafaidi vijisenti vyangu...
Cheki bro mwingine huyu hapa anapiga simu, najua anataka hela tuu...
Sipokei kubabake!!!
 
Tatizo odds zake chache sana. 1.8??? Mie nina laki maana yake nikishinda hapo naambulia 170,000 hivi.
Sawa hela ya nyanya lakini ya uhakika zaidi kuliko zile zenye odds kubwa

Hii sijaielewa dogo. Unajua inamaanisha nini nieleweshe
Kwamba kuna mtu atapewa kadi nyekundu, kwa upande of Juve au R Madrid
 
Back
Top Bottom