Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Kile kiti hataree sana, kina utamu balaa nadhani! Nikipewa siachi lkn, bora wananchi wangu wako freshi basi mbona safi tuMe naachia siyo waafrika wengi walivyo sema wewe ulivyo,mbona waliotangulia wameachia
Amefanya nusu ya hayo yule ndugu yenu au ndio mistari ilikuwa?😂Nitajenga barabara tanotano juu na chini, mabomba ya maziwa nchi nzima, wanafunzi praktiko mwezini.
Kabisa mkuu. Kuonyesha sera zetu zinatekelezeka na tunaziishi tutahamasisha wageni waalikwa wote wavae watakavyotaka. Mwenye kimini sawa, mwenye dela sawa, mwenye suti sawa, mwenye kanzu sawa. Ila nitasisitiza zaidi vimini viwe vingi hasa wale wenye miguu mizuri wapige vimini vya hatari akiinama mambo yote hadharani, hahahaha.Tukishaapishwa ule mwezi wa 11,2025 jioni kutakua na Tafrija pale pale kwa siku zote😁😁😁
Amefanya nusu ya hayo yule ndugu yenu au ndio mistari ilikuwa?😂
✌️
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kabisa mkuu. Kuonyesha sera zetu zinatekelezeka na tunaziishi tutahamasisha wageni waalikwa wote wavae watakavyotaka. Mwenye kimini sawa, mwenye dela sawa, mwenye suti sawa, mwenye kanzu sawa. Ila nitasisitiza zaidi vimini viwe vingi hasa wale wenye miguu mizuri wapige vimini vya hatari akiinama mambo yote hadharani, hahahaha.
Just curious 🏃🏾🏃🏾🏃🏾Jiheshimu sana; ntakupokonya hiko kidivais chako ulie mwaka
Thanks ILA hayo yatafanyika kisheria sio kimhemko na JUDICIARY itakuwa huru kabisa,na taasisi za kusaidia utawala bora zitaanzishwa na kuwa huru kama NEC,BUNGE,Human rights commission,na ndani ya jeshi la polisi nitaunda kisheria polisi wa kuhakikisha polisi wanatekekeza wajibu wao kisheria na mtu unapoona hukutendewa haki na polisi unakwenda kupeleka malalamiko yako kwao(IPAD)Mkuu wewe nitakuteua kuwa waziri mkuu wangu ili unisaidie kushikisha adabu watumishi vilaza. Tutafyekelea mbali mambo yote ya kipuuzi.
Asante mkuu.Umepita mkuu
Hapana mkuu, siwezi kuwaangusha wapiga kura wangu.Tatizo mkipewa mnasahau kila kitu ,hata JIWE alikuwa na sera nzuri kwenye kampeni za 2015, alisema atapandisha mishahara lakini mwaka wa 6 huu hakuna kitu.
Hapana mkuu. Ganja sitaruhusu. Nitairuhusu pale tu nitakapokaa na jopo la madakitari bingwa wa magonjwa ya akili na wakanihakikishia kuwa ganja haina madhara kwa wapiga kura wangu.Asee hujazungumzia kuhusu kuruhusu ganja, why?
Hivyo nilivyoviongelea ni vitu ambayo nitaanza navyo. Michezo sitaiacha nyuma maana michezo inachochea furaha na ari ya kazi. Usihofu mpiga kura wangu, rais wako mtarajiwa nipo smart sana. Kila angle yenye tija kwa taifa nitaipa kipaumbele.Hujagusia kabisa michezo, wakati inatoa ajira kwa watanzania?
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Mashoga hapana aisee (mimi sio mleta mada)Umeongelea uhuru wa mavazi ila upande wa uhuru wa faragha ujagusia ( mashoga)