Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

Unataka uongeze mtaani vikongwe ombaomba. Usifikirie waliojiajiri hawapati pesa ila wanakosa2 ule msimamo/mkazo wakujiwekeza au kuweka akiba.

Leo hii wazee wengi wenye unafuu wa maisha ni wale waliokuwa wameajiriwa tofauti na waliokuwa wamejiajiri. Unafuu huo unaletwa nahiyo mifuko ya hifadhi.
 
Ulivyosema tu utafuta mifuko ya Hifadhi, nikajua tu huyu bwana tangu ampoteze khumbu dish lake halijawahi kuwa sawa Yani limeyumba jumla kama king'amuzi cha continental
 
Mkuu dunia inabadirika. Usikariri maisha. Geuza upande mwingine wa shilingi uone kuna nini.
 
Mkuu hakuna raia yeyote wa nchi hii aliyewahi kufanya kazi na sasa hayupo kazini angetaka hela yake iende NSSF au PSSSF. Uchangiaji ungekuwa wa hiari wafanyakazi wa hii mifuko wangetafuta kazi ya kufanya.
 
Miradi ya maendeleo ya kijamii ungeifanya kwa sera gani bwana konda?

Miradi ya maendeleo nitaifanya kwa hela mkuu. Nitaanzisha wizara ya uchumi na uwekezaji. Hiyo wizara itaongozwa na wachumi wabobezi. Ikiwezekana nitaajiri wataalamu wa uchumi kutoka Ulaya na Marekani kuja kutusaidia kwenye suala zima la uchumi.
 
Khumbu alikukimbiza Sauzi nchi utaiweza ndugu??
 
Ulivyosema tu utafuta mifuko ya Hifadhi, nikajua tu huyu bwana tangu ampoteze khumbu dish lake halijawahi kuwa sawa Yani limeyumba jumla kama king'amuzi cha continental
Hahahhahaa nikweli
 
Khumbu alikukimbiza Sauzi nchi utaiweza ndugu??
Stateman, nchi itaenda vizuri sana. Ndani ya muda mfupi hamtatamani kwenda ulaya wala marekani. Tanzania itaweka historia. Viza ya Tanzania itakuwa shughuli pevu kuipata maana Tanzania itakuwa kimbilio la maisha bora ulimwenguni. Andaa kura yako tu stateman.
 
Mkuu dunia inabadirika. Usikariri maisha. Geuza upande mwingine wa shilingi uone kuna nini.
Ni sawa kwa mtazamo wako. Au utawapatia mshahara kiasi gani mpaka wasipate tamaa yakupitia nasave zao?
 
Mkuu maisha yakiwa bora hakuna atakayegusa savings yake. Mshahara unamtosha kumfanya aenjoy maisha yeye na familia yake. Uchumi wa nchi ukiwa imara, uwekezaji ni mkubwa, unemloyment rate below 5%, uongozi bora, siasa safi, uhuru na haki umetamalaki. Maisha hadi uzeeni yatakuwa matamu sana. Hizo savings unawaachia wajukuu tu.
 
Back
Top Bottom