konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
- Thread starter
-
- #61
Kabisa hilo litakuwepo kwenye ilani ya uchaguzi. Labda kwa kudodosa kidogo. Serikali yangu haitaruhusu ushoga maana serikali yangu japo haitakuwa na dini ila wapiga kura wangu wana dini. Na hakuna maandiko yeyote ya dini yanayoruhusu ushoga. Hivyo kitakachofanyika ni kifuatacho.Umeongelea uhuru wa mavazi ila upande wa uhuru wa faragha ujagusia ( mashoga)
Swali langu: Je, kuna dini inaruhusu kutembea uchi/nusu uchi?Kabisa hilo litakuwepo kwenye ilani ya uchaguzi. Labda kwa kudodosa kidogo. Serikali yangu haitaruhusu ushoga maana serikali yangu japo haitakuwa na dini ila wapiga kura wangu wana dini...
Ndio mkuu. Adamu na Hawa hawakuwa na nguo.Swali langu... Je kuna dini inaruhusu kutembea uchi/nusu uchi?
Kakung'ute siafu ndio uje tena.
Hahahahaha sawa ila sababu nahisi walikuwa uchi nawala hawakutambua kuwa nitatizo kuwa uchi ila uliona walipomuhasi Mungu nini kilitokea???Ndio mkuu. Adamu na Hawa hawakuwa na nguo.
Nikiwa Rais kwetu ni Tanzania.Vipi kujenga international airport nyumbani kwenu. Waswahili wna kamsemo kansema "Mtu kwao" au charity begins at home. Weka hiyo ndo mimi utapata kura yangu.
Huo moto ndio unaofaa ili kufidia muda tulioupoteza tulipokuwa tunaenda taratibu.Mawazo mazuri sana.
Ila hii nchi yetu bado changa wewe utawapelekea moto sana
Sawa kikubwa watu kama Sky Eclat hakikisha unawapelekeΓ moto ...Huo moto ndio unaofaa ili kufidia muda tulioupoteza tulipokuwa tunaenda taratibu.
Unaweza kuwa umeandika ukiwa unatania labda lakini imeongea points kubwa mno ambazo zote hamna Rais anaye weza kuzitekeleza. Hata wewe ukiwa Rais haiwezekani pia kuyatekeleza π kwa budget ipi kwanza na uchumi wetu huu πππ.Kuna watu watadhani labda nafanya masihara ila ukweli nimejipanga kuchukua nchi kama watanzania mnataka kuachana na haya maisha magumu.
Yafuatayo ndio yatafanyika kwenye utawala wangu....
Haya bwanaKuna watu watadhani labda nafanya masihara ila ukweli nimejipanga kuchukua nchi kama watanzania mnataka kuachana na haya maisha magumu.
Yafuatayo ndio yatafanyika kwenye utawala wangu...
Kwani kuna shiga gani mtu kujihifadhia hela yake mwenyewe? Serikali yangu itakuwa ya kujenga Tanzania mpya. Haya mambo ya kuona kuna watu hawawezi kujiwekea akiba wenyewe hadi mtu mwingine awawekee hela zao nitayafutilia mbali.Sawa tupo pamoja, mimi nadhani badala yakuwaza kuifuta nadhani ungerekebisha baadhi ya sheria ya hiyo mifuko....
Mkuu nikigombea wewe nipe kura tu, mengine niachie mimi. Nakuhakikishia kura yako haitaenda bure.Una sera za kuvutia sana, sema mkishapewa mamlaka... haya uliyoyasema yanaishia kwenye maandishi utekelezaji ni sifuri.
[emoji16] [emoji16]Ndio mkuu. Adamu na Hawa hawakuwa na nguo.
Sawa sawaMkuu nikigombea wewe nipe kura tu, mengine niachie mimi. Nakuhakikishia kura yako haitaenda bure.