[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila khumbu si alishakufaga bro au yupo atupe picha yakeUmeshindwa kutuonyesha picha ya Khumbu utaweza hayo
Mkuu hakuna raia yeyote wa nchi hii aliyewahi kufanya kazi na sasa hayupo kazini angetaka hela yake iende NSSF au PSSSF. Uchangiaji ungekuwa wa hiari wafanyakazi wa hii mifuko wangetafuta kazi ya kufanya.Ulivyosema tu utafuta mifuko ya Hifadhi, nikajua tu huyu bwana tangu ampoteze khumbu dish lake halijawahi kuwa sawa Yani limeyumba jumla kama king'amuzi cha continental
Hapana mkuu. Subiri ifike 2025 ndio useme unachosema.Hata 2025 kiti haachii mtu ng`o laba covid-19 iingilie kati
Mkuu hakuna raia yeyote wa nchi hii aliyewahi kufanya kazi na sasa hayupo kazini angetaka hela yake iende NSSF au PSSSF. Uchangiaji ungekuwa wa hiari wafanyakazi wa hii mifuko wangetafuta kazi ya kufanya.
Miradi ya maendeleo nitaifanya kwa hela mkuu. Nitaanzisha wizara ya uchumi na uwekezaji. Hiyo wizara itaongozwa na wachumi wabobezi. Ikiwezekana nitaajiri wataalamu wa uchumi kutoka Ulaya na Marekani kuja kutusaidia kwenye suala zima la uchumi.Miradi ya maendeleo ya kijamii ungeifanya kwa sera gani bwana konda?
😂 😂 😂Ndio mkuu. Adamu na Hawa hawakuwa na nguo.
Asante, andaa kura yako tu mkuu.Makofi kwa Muheshimiwa tafadhali[emoji122][emoji122][emoji122]
Sijapitia mkuu
Elimu ya Afrika kusini hiyo mkuuHuyu mwaandishi kichwa sana. Sayansi itakuwa lazima serikali ya mapinduzi ya sayansi Tanzania.
Hahahhahaa nikweliUlivyosema tu utafuta mifuko ya Hifadhi, nikajua tu huyu bwana tangu ampoteze khumbu dish lake halijawahi kuwa sawa Yani limeyumba jumla kama king'amuzi cha continental
Stateman, nchi itaenda vizuri sana. Ndani ya muda mfupi hamtatamani kwenda ulaya wala marekani. Tanzania itaweka historia. Viza ya Tanzania itakuwa shughuli pevu kuipata maana Tanzania itakuwa kimbilio la maisha bora ulimwenguni. Andaa kura yako tu stateman.Khumbu alikukimbiza Sauzi nchi utaiweza ndugu??
Ni sawa kwa mtazamo wako. Au utawapatia mshahara kiasi gani mpaka wasipate tamaa yakupitia nasave zao?Mkuu dunia inabadirika. Usikariri maisha. Geuza upande mwingine wa shilingi uone kuna nini.
Mkuu maisha yakiwa bora hakuna atakayegusa savings yake. Mshahara unamtosha kumfanya aenjoy maisha yeye na familia yake. Uchumi wa nchi ukiwa imara, uwekezaji ni mkubwa, unemloyment rate below 5%, uongozi bora, siasa safi, uhuru na haki umetamalaki. Maisha hadi uzeeni yatakuwa matamu sana. Hizo savings unawaachia wajukuu tu.Ni sawa kwa mtazamo wako. Au utawapatia mshahara kiasi gani mpaka wasipate tamaa yakupitia nasave zao?