Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
- Thread starter
- #141
Malengo ya kujenga ninayo kabisa mkuu, ingawa nimepanga kujenga kwa awamu.Kajenge tu ndugu yangu!...... Hayo magari sio issue saaaana
Nitadunduliza nikipata Milioni 2 naanza hatua 1, nadunduliza tena ikifika Milioni 2 naingia hatua ingine, kwa kuwa uwezo wa kujenga nyumba ikaisha kwa mara moja sina kwa kipato changu.
Sent using Jamii Forums mobile app