aisee mke wangu mpenzi analeta sana noma nikija huku.
najificha ficha sana.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] bado nakuhitaji kwenye exclusive interview ujue
Point mywii
Watu jana walikimbiaaaa mwanaume Mondray akayasovu pekeake huku mimi dadake nalia lia tu hapa
What a brave and strong husband of you lol
Congrats chambu
Hapo umenena shoga anguPole mwaya pambana nae mpaka kielewekeeeee usikubali kirahisi mwanamke mwingine akupokonye Daby wako
Ndi wachuLazima nifanye kweli Chambu wanje
Uzuri Alikupendea jina hilo hilo mywii
No need to modify yourself
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]husna muba njoo kamata huyu anakimbilia wapi njoo nakusaidia kumvuta
Hapo umenena shoga angu
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hajui...Mwenyewe niliishia kuguna kama wewe.
But this is chit-chat. Siunajua.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mmh...
Mwenyewe najua JF tena .
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]ndio sikupendi kwan mm husna mpk nikupende
Vipi kunanii[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Sisi tunabanjuana kweli sijui kwa wengineAlafu mtindo wa humu ndani watu kuitana wapenzi mi hata siulewi ni kwamba mnabanjuana kweli in real life au ndo kunogesha jamvi,?
Hahahaahhahahaahahahahaha safiiiiiii
Hizo swaga ndo nazipendaga mwenzio
I wish I could be a man ili niwale watoto wazuri kama wewe black beauty plus white maasai lol ila ndoivo tena namimi nachuchumaa
Mi natumia kachasa tuChukua black lebal chupa nakuja kulipa.usisahau cocacola mi nakuja na ice cbs