Nichane Day

Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Drln unajua kwa usuluhishi huu umeshajinyakulia tucredit twako hapa.

Point mywii
Watu jana walikimbiaaaa mwanaume Mondray akayasovu pekeake huku mimi dadake nalia lia tu hapa
What a brave and strong husband of you lol
Congrats chambu
 
aisee mke wangu mpenzi analeta sana noma nikija huku.
najificha ficha sana.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] bado nakuhitaji kwenye exclusive interview ujue

Ukiwa huku ni rahisi sana mkuu
Follow your heart but carry your brain with you
Hutapata shida kabisa
 
Point mywii
Watu jana walikimbiaaaa mwanaume Mondray akayasovu pekeake huku mimi dadake nalia lia tu hapa
What a brave and strong husband of you lol
Congrats chambu

Yani my wii hutajuta kunipata mimi aseh.nimepata uhakika wa malezi ya familia yenu.halafu nahisi katokea seminari skuli eeee..Monndray bby unajua aliporejea kwenye baibo tu alikikata kongosho,firigisi,moyo,bandama na kila kitu yani.i lavu him mbayaaa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom