Nichane Day

Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Tunapokea jumbe nyingi sana na tunajitahidi kuzipitia zote.. Ila tutaongeza kasi mkuu..
Nafasi za umod zitatangazwa endapo tutahitaji kuongeza nguvu, usijali kabisa..
Siku moja niliambiwa nipite kwa mzizi mkavu kuhusu kuwa mod. Ana role gani Jf
 
Kaza buti chambu mpaka kielewekeeeee kakangu. Usiniangushe awamu hii kama ulivoniangusha kwa J.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwambie ajitahid kweli.nami naangali juhudi zake mdogo mdogo
 
Mahondaw uyu anapenda sana kuleta viswaga vya kumix lugha yani haeleweki na alafu ana mapoz sana abadilike
Antonio naona umenikalia kooni lol
Sina hata jema kwako!! Vibaya hivooo
Wee ndugu yangu ujue
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom