Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mwenyewe niliishia kuguna kama wewe.
But this is chit-chat. Siunajua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe niliishia kuguna kama wewe.
Kwa kunishtaki haujambohusna muba njoo kamata huyu anakimbilia wapi njoo nakusaidia kumvuta
Toa takataka zako hapa hatuzihitajiKujiunga na chama cha Freemason tz ili uwe tajir, umaaruf Piga namba zifuatazo nikuunganishe 0621427735,0712854564
Tatizo jina lako limekaa kama demu ,mwanaume utajiitaje TITi Munda ?Mods kwanini PM yangu haina mvuto na mashory,miaka yte hii niko jf hata siku moja sjakutana na mesej ya mchuchu hata ya bahati mbaya?,ni haki kweli hii,mlishuhulikie hilo.
Mmh...Mwenyewe niliishia kuguna kama wewe.
But this is chit-chat. Siunajua.
Nipo jiran hapa hapa tena
Ha ha haYani we acha tu.kuna sifa nyingine zinanifanya niufute ujirani nilionao na huyu mtu kwakwel
Siku moja niliambiwa nipite kwa mzizi mkavu kuhusu kuwa mod. Ana role gani JfTunapokea jumbe nyingi sana na tunajitahidi kuzipitia zote.. Ila tutaongeza kasi mkuu..
Nafasi za umod zitatangazwa endapo tutahitaji kuongeza nguvu, usijali kabisa..
ndio sikupendi kwan mm husna mpk nikupendeWewe si haunipendi
Teh sio kwa kubadilisha huko avatarWaoooo nimefurah kukuona.karibu
Kaza buti chambu mpaka kielewekeeeee kakangu. Usiniangushe awamu hii kama ulivoniangusha kwa J.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo jina lako limekaa kama demu ,mwanaume utajiitaje TITi Munda ?
Haya.ndio sikupendi kwan mm husna mpk nikupende
Teh
Nazungumzia
Kuingia JF