Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wala sikumjibu vibayaNakuunga mkono kweli kuna watu majina yamekaa kiume mf. Sakayo. Chikara mtabari. Banaange. BlessedHope.
Ila mkuu ulipokosea ni sehem moja pale alipokuambia kua jinsia yake ni Me ila wewe ukaendelea ku mind jina lake kua limekaa Kike
Ila yeye ndio alianza vibaya kwa kuwa alisema sijui pombe magufuli kafanya nini nikamwambia hoja dhaifu akaanza kuongea shit kuhusu tunda
Sasa jiulize habari zangu mimi na tunda yeye zina muhusu nini?
Kina muuma nini mimi kumsifia tunda?