Nichane Day

Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Nakuunga mkono kweli kuna watu majina yamekaa kiume mf. Sakayo. Chikara mtabari. Banaange. BlessedHope.
Ila mkuu ulipokosea ni sehem moja pale alipokuambia kua jinsia yake ni Me ila wewe ukaendelea ku mind jina lake kua limekaa Kike
Wala sikumjibu vibaya

Ila yeye ndio alianza vibaya kwa kuwa alisema sijui pombe magufuli kafanya nini nikamwambia hoja dhaifu akaanza kuongea shit kuhusu tunda

Sasa jiulize habari zangu mimi na tunda yeye zina muhusu nini?

Kina muuma nini mimi kumsifia tunda?
 
Ungeandika kama ulivyoandika hapa wala nisingekumaindi,kumbe ustaarabu unauweza,hebu linganisha ulivyoandika hapa na jinsi ulivyoandika mara ya kwanza utaelewa kosa lako lilipo
Kosa lipo wapi kijana?

Kukwambia kwamba hiyo Titi Munda haijakaa kiume au?
 
Mods tunaomba itifaki izingatiwe, nashauri kuwa:

huu uzi ni mzuri hivyo USIFUTWE

Lakini ikiwa inabidi wakosefu wa adabu na nidhamu kwa makusudi, hasa wale wachokozi wapigwe BAN.
 
Tumpishe shetani mbaya apite... Ni upepo mbaya umepita tu... Wote wata calm down and life goes on...

mahondaw my love... Remember what i told you when you were writing this thread... You see now my love....
 
Wakuu JF imenabadilika kwa kasi saana. Na tunakoelekea itakuwa kama FB na insta. Sijui ni utoto sijui ni ushamba wa washkaji sielewi yaani.

Igeni mifano ya hawa member wa chitchat.
Asprin Viol
kiwatengu Honey Faith
espy

Watu tunataniana na wengine hatufahamiani lakin hatufikii huko. Jf inaenda kuwa FB.
Mkuu najuta hata kuja kwenye huu uzi...

Ngoja niwatakie usiku mwema.
 
Wala sikumjibu vibaya

Ila yeye ndio alianza vibaya kwa kuwa alisema sijui pombe magufuli kafanya nini nikamwambia hoja dhaifu akaanza kuongea shit kuhusu tunda

Sasa jiulize habari zangu mimi na tunda yeye zina muhusu nini?

Kina muuma nini mimi kumsifia tunda?
Ok mkuu nyote mmekoseana basi kama wanaume naombeni mtoe tofauti zenu basi maisha yasonge. titimunda Hance Mtanashati ligi iishe. Unajua Hance unajina kubwa mtandaoni so usitake kujichafulia sifa zako kisa vitu vidogo. Gongeni tano kama vidume then mambo yasonge
 
Sawa mkuu nimekuelewa

Mimi sio mtu wa maneno maneno hasa ambayo yanamkwaza mtu
 
Tumpishe shetani mbaya apite... Ni upepo mbaya umepita tu... Wote wata calm down and life goes on...

mahondaw my love... Remember what i told you when you were writing this thread... You see now my love....
Sijui aliwaza nini....[emoji19] [emoji19]
Sijui shetani alimtumia kama daraja.....[emoji20] [emoji20]
Kiukweli nimetafakari sana, lakini nimeishia kusema.....
Hili nalo litapita
 
Tumpishe shetani mbaya apite... Ni upepo mbaya umepita tu... Wote wata calm down and life goes on...

mahondaw my love... Remember what i told you when you were writing this thread... You see now my love....
Smart911 mylove wewe ni prophet nini??

What you told me is now happening duhhhhhhhhhhh
It's So sad mylove let me come to sleep

[HASHTAG]#Iloveyouverymuchsmart99beibee[/HASHTAG]!#
 
Ok mkuu nyote mmekoseana basi kama wanaume naombeni mtoe tofauti zenu basi maisha yasonge. titimunda Hance Mtanashati ligi iishe. Unajua Hance unajina kubwa mtandaoni so usitake kujichafulia sifa zako kisa vitu vidogo. Gongeni tano kama vidume then mambo yasonge
Ligi imeisha na bwana hance kawa mshindi,point zimelingana ila kanizidi idadi ya magoli.like I said its all good.peace
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom