johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Mi natumia kachasa tu
Hii IPO huku kwetu ipo kama kiroba kilicho pigwa marufukuSiijui hiyo mkuu
Mi natumia kachasa tu
Mkuu hii kwa kiswahili munaita gongoNi soft drink,likyua,whiskey,spirity,beer,au nini hiyo mkuu
Tafuta demu[emoji4][emoji4][emoji4]......na kweli hali yangu si nzuri sana!
Mkuu hii kwa kiswahili munaita gongo
Hii huwa unarusiwa kunywa nusu lita ukizidisha ya nakukuta yanayo wakuta watu wa huko moshi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]kunywa pipa zima nakuja kulipa.
Sisi tunabanjuana kweli sijui kwa wengine
Hii huwa unarusiwa kunywa nusu lita ukizidisha ya nakukuta yanayo wakuta watu wa huko moshi
Sawa unajua bei yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaanza kuichokoza rombo yetu e we ngoja waje.hakuna kilichoharibika we kunywa tu naja lipa usija
Sawa unajua bei yake
Hii inauzwa buku jeroSijui ila nahis itakuwa buku maana no tbs lebo
Hii inauzwa buku jero
Hapa nimebeba kama Lita tano naenda nayo shambani nikifika shambani ndo nitaonja kidogoSawa tu kunywa nitalipa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usije ukatambaa maan sina nguvu za kukubeba
Hapa nimebeba kama Lita tano naenda nayo shambani nikifika shambani ndo nitaonja kidogo
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] hapo umekosea kidogo jembe huwa linabaki shambani hapa nimebeba redio yanagu moja matata na hiyo kachasa lita tano na simu yangu ya urithi[emoji23][emoji23][emoji23]tena nimepta picha jinsi utakavyokuwa umeibeba.umeining'iniza kwenye mpini wa jembe then jembe begani.ukimaliza kuinywa yote dumbukia ziwan
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]FaizaFoxy kuwa na roho ya huruma binti wa kiislam na ukumbuke tulipotoka, lainika japo kidogo
Wahenga walisema unaposhikwa shikamana...why hushikamani babe?
Nakuchana....!
Jichane kwanza wewe ndo ufuate wengineCjui nianze,nan na nimalize na nan
Ngoja kwanza niingie kwa baba yake bashite
Masaa ya lunch narud
Nitiririke vzr