Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Na u much know mwingihuyo chifu injinia nahisi nimemblock anapenda kutukana aisee
Hongera kwa kulitoaDada la moyoni kabisa
Ujue kukaa bench ni dalili za kiwango kushuka ujue kuna mwenzio kachukua nambajoanah naww ueleweke sasa kama hunitaki niambie tu sio kunisugulisha benchi toka January. Na usiwe unanikubalia ili kuniridhisha tu am for realy
mpk kero sijui hawajioni au inakua vipiNa u much know mwingi
ana mjina mbaya mpaka nafeel kutapikaMndali ndanyelakakomu waombe mods wakubadilishie jina bwana lijina libaya kama nini kwanza utadhan dawa ya kuinika watoto
Ilitakiwa upunguze ukali wa manenoUlitaka nimchane uongo akaa
Jina sibadilishi hata iwejeMndali ndanyelakakomu waombe mods wakubadilishie jina bwana lijina libaya kama nini kwanza utadhan dawa ya kuinika watoto
Nishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBOana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika
namchana
Hili jina kama hujashiba huwezi kutamkaana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika
namchana
Warembo wanapenda vizee vinajua kuligaramia vijana mnakimbia biliNawachana warembo wa humu wote.
Acheni kulinga bwana na mnatubagua sisi wageni humu jf kazi kupenda vizee halafu sisi tunabaki watupu acheni zenu
Ujue jina lako linaimbika kwa melody ya Jah praizJina sibadilishi hata iweje
mpaka napata kwikwiHili jina kama hujashiba huwezi kutamka
Wanajuaje kua sina helaWarembo wanapenda vizee vinajua kuligaramia vijana mnakimbia bili
Haya majina ni mhimu kuliko weweNishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO
Nitakununulia maji unywe ili kwikwi iishempaka napata kwikwi
Acha kujitetea kwenye hamna kwanza kavune maharage huko kyelaHaya majina ni mhimu kuliko wewe
Inaonekana tunatumia nguvu nyingi kuwafukuzia wakati wazee wanatumia mpesa Tigo pesaWanajuaje kua sina hela
Mi siko kyela Niko ileje mkoa wa songweAcha kujitetea kwenye hamna kwanza kavune maharage huko kyela
tunawachanaNishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO