fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Mbona unashutuka?sisi tena tumekufanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unashutuka?sisi tena tumekufanyaje
Nimechanganya madawa mkuuMi siko kyela Niko ileje mkoa wa songwe
si mchezoNitakununulia maji unywe ili kwikwi iishe
Chana na wewe tuwaonetunawachana
wala sbbu sina ubaya niliokufanyiaMbona unashutuka?
Usiogope kawaida maana ni jirani zanguNimechanganya madawa mkuu
Usiogope mkuu niambie nitumie jina gani?si mchezo
Na mimiHello members.!
Leo ni siku yako ya kumwambia chochote unachojisikia kumwambia katika nafsi yako, liwe zuri au baya awe tayari kulipokea, kwani leo ni siku ya kuyapokea maoni ya kila mtu humu ili tujirekebishe au kuongeza bidii.
Kwa hiyo MWAMBIE CHOCHOTE UNACHOKIFIKIRIA. Wee mwambie tu usiniogope na hutakiwi kukasirika.
Nianze na mods
Ban- sikuhizi kumekua na ban nyingi sana tofauti na zamani sijui tatizo ninini. Ukiingia jf tu unakutana na ban za kutosha yani kila kona ni ban ban ban ban duhhhhhhhhhhh.
Editing - kuna editing fulani hivi hufanywa na mods yani zimekaa tenge kweli kweli binafsi zinaniboa naona hata hazipendezi .
Saint Ivuga - huyu member huyu alikua na mambo ya ajabu sana kwa kupenda kuleta private issues jukwaani kitu ambacho nadhani si kizuri na ndiomana ikaitwa private message ( pm) na alikua na blah blah nyingi za kichonganishi lakini sikuhiz naona ameanza kubadilika. Safi.
Daby - Huyu nimpongeze kwa kwa kuwashika wadada kupitia hio Avatar yake inawashikaaa ndomana amekua sukari ya warembo MMU
Pia kwa Daby anaonekana kuongea na kila mtu kuchat na kila mtu kutaniana na kila mtu kaka wa watu hana mashauzi. Big up bro.
Wengine..........................
Nitarudi.
Hii ni chitchat jamani.
Karibuni katika nichane day.
Wewe unataka nivunjike mbavu zangu eeeeUjue jina lako linaimbika kwa melody ya Jah praiz
NgasongobangoUsiogope mkuu niambie nitumie jina gani?
Hilo jina unaweza ukakimbiwa na jirani woteNgasongobango
Kweli shunie sina lolote la kukuchana, bali kukusifia kwamba wewe ni mwanamke wa mfano.wala sbbu sina ubaya niliokufanyia
Kweli kabisa linaimbika etiWewe unataka nivunjike mbavu zangu eeee
Nimeanguka shambani wewe punguza kunichekeshaKweli kabisa linaimbika eti
"Aahaaaa mndali, mndali ndanyelakakomu chakaachaaaa"
In Diamond voice
hahaha mfano wa vipi fakalavaKweli shunie sina lolote la kukuchana, bali kukusifia kwamba wewe ni mwanamke wa mfano.
Haya inuka endelea kuvuna maharage na uzime data huku kwetu sisi kuna njaaNimeanguka shambani wewe punguza kunichekesha
si jina tuHilo jina unaweza ukakimbiwa na jirani wote