Nichane Day

Status
Not open for further replies.
Hebu nichane mamy na mimi najiandaa kukushona hapa ....

Mzima lkni!!haya twende kazi.mengine utayarejea ya jana.

Unahuruma sana,rangi ni ya kawaid si mweupe wala mweusi,sio mkmya,ukiamua unamchana mtu laivu then unasepa,una madem kiaina,ni mkristo,,, acha niishie hapaa

Najua sindano na uzi vyote utaazima
 
Kweli, Bangi ikikolea kichwani ni shida tu. Hapo ukimuona yuko stimuuuu. denda linadondoka tu. "teja"
 
FaizaFoxy kuwa na roho ya huruma binti wa kiislam na ukumbuke tulipotoka, lainika japo kidogo

Wahenga walisema unaposhikwa shikamana...why hushikamani babe?

Nakuchana....!

Lol faiza ana majibu yake fulani hivi yakunyaaaa huwezi mdhania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…