Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shost mm na ww hatuna tofauti wote tunapapenda kule [emoji85]Mi namchana shunie maana anapenda kuonekana jukwaa pendwa kuliko majukwaa yote[emoji23][emoji23][emoji23]
Hah haaaa umenizidi bhanaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]shost mm na ww hatuna tofauti wote tunapapenda kule [emoji85]
bas siingii tena [emoji23]Hah haaaa umenizidi bhanaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Aiseee Kule si pa kukosaaaabas siingii tena [emoji23]
Lina hujambo jaman... Za tokea makapuku??Aiseee Kule si pa kukosaaaa
Nzuri sijui wewe?Lina hujambo jaman... Za tokea makapuku??
[emoji23][emoji23]Aiseee Kule si pa kukosaaaa
Hello members.!
Leo ni siku yako ya kumwambia chochote unachojisikia kumwambia katika nafsi yako, liwe zuri au baya awe tayari kulipokea, kwani leo ni siku ya kuyapokea maoni ya kila mtu humu ili tujirekebishe au kuongeza bidii.
Kwa hiyo MWAMBIE CHOCHOTE UNACHOKIFIKIRIA. Wee mwambie tu usiniogope na hutakiwi kukasirika.
Nianze na mods
Ban- sikuhizi kumekua na ban nyingi sana tofauti na zamani sijui tatizo ninini. Ukiingia jf tu unakutana na ban za kutosha yani kila kona ni ban ban ban ban duhhhhhhhhhhh.
Editing - kuna editing fulani hivi hufanywa na mods yani zimekaa tenge kweli kweli binafsi zinaniboa naona hata hazipendezi .
Saint Ivuga - huyu member huyu alikua na mambo ya ajabu sana kwa kupenda kuleta private issues jukwaani kitu ambacho nadhani si kizuri na ndiomana ikaitwa private message ( pm) na alikua na blah blah nyingi za kichonganishi lakini sikuhiz naona ameanza kubadilika. Safi.
Daby - Huyu nimpongeze kwa kwa kuwashika wadada kupitia hio Avatar yake inawashikaaa ndomana amekua sukari ya warembo MMU
Pia kwa Daby anaonekana kuongea na kila mtu kuchat na kila mtu kutaniana na kila mtu kaka wa watu hana mashauzi. Big up bro.
Wengine..........................
Nitarudi.
Hii ni chitchat jamani.
Karibuni katika nichane day.
Panapunguza stress za Bashite na Baba yake[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji23][emoji23]
kweli kabisaPanapunguza stress za Bashite na Baba yake[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
nakuona nakuonahahahahahh mzee wa fursa nini lkn nitaghaili kuja kukutembelea pm
Wewe bado umri wako hauruhusu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Wapi hukoo??
Nidokeze namie nikachungulie
unaenda wapi we huna wa kumchana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji85]nakuona nakuona