Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nakupendaje....Maneno hayana nafasi drln usijali.shunie..mleta uzi alilijua hilo mapemaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupendaje....Maneno hayana nafasi drln usijali.shunie..mleta uzi alilijua hilo mapemaaaaa
Mmhu mbona eneo geni hilo.Maziwa mengi nimeyaona likiwepo na hilo Tanganyika nilikuwa nafika maeneo yanaitwa kasanga
Wewe endelea tuuuuhahahhh
ila kuna husna ndio baby wa Daby ngoja aje usije ukasema hatujakwambia vya watu sumuManeno hayana nafasi drln usijali.shunie..mleta uzi alilijua hilo mapemaaaaa
Upande wa tz wewe bandari ya kasangaMmhu mbona eneo geni hilo.
Ulikua kusini. Mjini. Au kaskazni mwambao wa burundi?
hahahhh eb niache mm endelea na harakati zako ila husna anakujaWewe endelea tuuuu
Daaa nimekupenda bure aisee
Kama sumu basi yeye atakuwa panya ndo maana anataka kufaila kuna husna ndio baby wa Daby ngoja aje usije ukasema hatujakwambia vya watu sumu
Hivi unajua B ni jirani yangu...ila kuna husna ndio baby wa Daby ngoja aje usije ukasema hatujakwambia vya watu sumu
Unasemaaaa! !unajua thikuthikiii kabisaaahahahhh eb niache mm endelea na harakati zako ila husna anakuja
Hapana hakuna bandari yenye jina hilo kule labda ilikua mkoa mwingine sio kwetuUpande wa tz wewe bandari ya kasanga
Naona aibu kusema hapa labda kule chumbani kama utapendaSema kwanin umenipenda.
Wewe vonaonekana unaifahau kigoma tuHapana hakuna bandari yenye jina hilo kule labda ilikua mkoa mwingine sio kwetu
Swadakta... NimekumisNzuri sijui wewe?
Shoti zipi bibie. Hebu ziolozeshe hapa nizione
Kwani tulikua tunazungumziacwapi sie si huko huko.Wewe vonaonekana unaifahau kigoma tu