Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Kumbee ndo maana wazee wanakuzidi kete mwanaume unashindwa kumwaga ya moyoni unataka ukasemee gizanNaona aibu kusema hapa labda kule chumbani kama utapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbee ndo maana wazee wanakuzidi kete mwanaume unashindwa kumwaga ya moyoni unataka ukasemee gizanNaona aibu kusema hapa labda kule chumbani kama utapenda
Njoo chumbani kule primera mesengesShort pipo.karibu.tadah...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Masharti mwambie maana kijana yupo hapo anasubiri kuambiwa masharti
wangine ni Most Wanted mtaani tukionekana ni shidaKumbee ndo maana wazee wanakuzidi kete mwanaume unashindwa kumwaga ya moyoni unataka ukasemee gizan
Njoo chumbani kule primera mesenges
Unaingilia huku sumbawanga ndo unaikuta bandari ya kasangaKwani tulikua tunazungumziacwapi sie si huko huko.
Akinawa basi ila naona masharti mepesi tuKama na shot pipo kama wale wa kongo kule akaribie au kama yule tausi mwigizaji.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Basi huko sio ninapo pasema mm na huwez pata dagaa wetu hukoUnaingilia huku sumbawanga ndo unaikuta bandari ya kasanga
Nakupendaje....
Una uhakika au ndo swaga zakowangine ni Most Wanted mtaani tukionekana ni shida
Unazidiwa ujanja naona kijana anataka kuwakilisha uwepo wakeBaby Banaange kitu kinaendelea hapa
[emoji8][emoji8][emoji8] foleni haipo bhnJamn mi nakupenda nyang'anyang'a mpka naumwa wacha kabisa.acha niendelee kuongeza foleni hakuna tabu
Una maswali ya kipelelezi nishayagundua. SiyajibuUna uhakika au ndo swaga zako
unaongea na mm au na husna [emoji23]Unasemaaaa! !unajua thikuthikiii kabisaaa
ila kuna husna ndio baby wa Daby ngoja aje usije ukasema hatujakwambia vya watu sumu
Naona jirani mwema kabisaHivi unajua B ni jirani yangu...
Wewe endelea tu