Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nimeshajitoa pamenishindaDaby kawa member[emoji13][emoji13][emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshajitoa pamenishindaDaby kawa member[emoji13][emoji13][emoji13]
Aiseemimi nawachana washamba wote wa humu vidume suruali ,vitoto vya mama,wenye chembechembe za delicious kutwa kudai mimi ni mwanaume! nilivo na papuchi nzuri hivi kweli mimi nafanana na waninginiza makende kweli? mshindwe
Bujibuji Behaviourist
[emoji23][emoji23][emoji23]Shosti napata ukakasi[emoji12][emoji12][emoji12]
Huyo ni mtani wangu tu yeye ana wake anaitwa Smart91Mbn kama hueleweki.unanichanganya ujue.[emoji23][emoji23][emoji23]
ameshatoka hataki tena kurudi muulize kwa nn [emoji23][emoji23] anawaomba mods wamtoeDaby kawa member[emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshajitoa pamenishinda
Huyo ni mtani wangu tu yeye ana wake anaitwa Smart91
Love sana wewe mrembo
Sijui nkukiss hapahapa
I can't tolerate . Siunajua watu wengine tukilenga hatukosei[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaaaaaah beeeeiby njoo kwa Pm nikuambie maneno flani hivi. SiriazNikiss tu beibi
Unaanza tena kukimbilia gizaniMwaaaaaah beeeeiby njoo kwa Pm nikuambie maneno flani hivi. Siriaz
hahahhah hivi Daby we si unaweza ata baka ukizidiwaI can't tolerate . Siunajua watu wengine tukilenga hatukosei
Tatizo unapenda ubuyu sana kwahiyo unataka tujianike hapaUnaanza tena kukimbilia gizani
Sidhani ila sipendi kukaa muda mrefu bila. ...hahahhah hivi Daby we si unaweza ata baka ukizidiwa
Nimekwambia mwanaume wa kweli haogopi kuonyesha anacho taka kionekane kwa ampendaeTatizo unapenda ubuyu sana kwahiyo unataka tujianike hapa
Mimi nitakuchanaMimi napita tu nimekosa wa kumchana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ahaaa ni private issuesNimekwambia mwanaume wa kweli haogopi kuonyesha anacho taka kionekane kwa ampendae
Daby Daby hizo sifa zako eti..!!Hello members.!
Leo ni siku yako ya kumwambia chochote unachojisikia kumwambia katika nafsi yako, liwe zuri au baya awe tayari kulipokea, kwani leo ni siku ya kuyapokea maoni ya kila mtu humu ili tujirekebishe au kuongeza bidii.
Kwa hiyo MWAMBIE CHOCHOTE UNACHOKIFIKIRIA. Wee mwambie tu usiniogope na hutakiwi kukasirika.
Nianze na mods
Ban- sikuhizi kumekua na ban nyingi sana tofauti na zamani sijui tatizo ninini. Ukiingia jf tu unakutana na ban za kutosha yani kila kona ni ban ban ban ban duhhhhhhhhhhh.
Editing - kuna editing fulani hivi hufanywa na mods yani zimekaa tenge kweli kweli binafsi zinaniboa naona hata hazipendezi .
Saint Ivuga - huyu member huyu alikua na mambo ya ajabu sana kwa kupenda kuleta private issues jukwaani kitu ambacho nadhani si kizuri na ndiomana ikaitwa private message ( pm) na alikua na blah blah nyingi za kichonganishi lakini sikuhiz naona ameanza kubadilika. Safi.
Daby - Huyu nimpongeze kwa kwa kuwashika wadada kupitia hio Avatar yake inawashikaaa ndomana amekua sukari ya warembo MMU
Pia kwa Daby anaonekana kuongea na kila mtu kuchat na kila mtu kutaniana na kila mtu kaka wa watu hana mashauzi. Big up bro.
Wengine..........................
Nitarudi.
Hii ni chitchat jamani.
Karibuni katika nichane day.
Jichane mwenyeweMimi napita tu nimekosa wa kumchana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]